ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 18, 2017

Hongera Bi.Zainabu Ally Hamisi kwa kuitimu Diploma ya uwanahabari

Bi.Zainabu Ally Hamisi ( Bint wa mtoto wa mjini) ameitimu masomo yake ya diploma ya uwanahabari katika chuo cha Dar-es-Salaam School of Journalism (DJS) katika maafali yaliyofanyika siku ya jumamosi 16 Disemba 2017, Zainabu Ally Hamisi ni bint wa marehemu Ally Hamisi mchezaji wa zamani timu ya soka ya Kongo United (Shetani wekundu) ya karikoo,jijini Dar. Bint huyu alikuwa na kiu ya kuwa mwanahabari tangu akiwa mdogo na atimaye ameitimu kupata diploma ya ndoto yake hiyo.Bi.Zainabu pia alifanya mazoezi ya vitendo kama ripota katika blog ya jamiii ya Michuzi , tunamtakia mafanikio zaidi mwanahabari huyu Zainabu Ally. pia yupo at https://www.facebook.com/zayney.ally

No comments: