Advertisements

Friday, December 15, 2017

MKUTANO MAWAZIRI WA SHIRIKA LA BIASHARA DUNIANI

MKUTANO MAWAZIRI WA SHIRIKA LA BIASHARA DUNIANI
Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na Maxim Medvedkov (Mkurugenzi Idara ya Majadiliano ya Biashara ya Urusi) na Ekarina E. Mayorova (Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Majadiliano ya Biashara ya Urusi) ambao ni sehemu ya ujumbe wa Urusi katika mkutano unaoendelea wa kumi na moja wa Mawaziri wa Shirika la Biashara Duniani (WT...
MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu Profesa Elisante Ole Gabriel akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara la Dunia (WTO) Roberto Azavedo wakati wa Mkutano wa 11 wa WTO (MC11) mjini Buenos Aires, Argentina. HABARI LEO

No comments: