Thecla akipata picha ya upendelea kwenye sherehe ya chakula cha jioni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake iliyofanyika nyumbani kwa Edah Gachuma Laurel siku ya Jumamosi Desemba 2, 2017 na kuhudhuriwa namarafiki zake.
Edah akikabidhi keki ya siku ya kuzaliwa
Thecla akipata picha na keki
Edah akipata ukodak moment na Thecla
Edah akifungua mvinyo inayolipuka.
Edah akumimina mvinyo kwenye klasi ya Thecla.
marafiki wakinyanyua glasi kwa pamoja na kumtakia Thecla maisha ya furaha katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Marafiki wakiwa mezani tayari kwa menyu.
Thecla akijipakulia tayari kwa menyu.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment