Advertisements

Wednesday, December 27, 2017

THELUJI ILIYOANGUKA MJI WA ERIE, PENNSYLVANIA YAWEKA REKODI

Image result for Erie, Pennsylvania, pummeled by record 5 feet of snow
Mji wa Erie jimbo la Pennsylvania limepata theluji ya kufa mtu iliyoanza kuanguka tangia siku ya krismasi mpaka leo Jumatano Desemba 27, 2017, theluji ya futi 5 iliyoweka rekodi ya mji huo ya tangia mwaka 1956. Theluji ya inchi 34 iliyoanguka siku ya krismasi imevunja rekodi ya inchi 20 iliyoanguka mwaka 1956 na baadae theluji iliendelea kunaguka siku ya Jumanne na kumalizikia leo Jumatano kwa theluji ya inchi 2 mpaka 6 mpaka kufikia futi 5. Mji wa Erie una wakazi wapatao 99,000 kwa mujibu wa sensa iliyofanywa siku za hivi karibuni.
Image result for Erie, Pennsylvania, pummeled by record 5 feet of snow
Image result for Erie, Pennsylvania, pummeled by record 5 feet of snow

No comments: