Advertisements

Friday, December 29, 2017

TUNDU LISSU AMEKAA MWENYEWE KWA MARA YA KWANZA

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa madaktari katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya, anakotibiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake, Area D, Dodoma huku hali yake ikizidi kuimarika kila kukicha.
GPL

No comments: