Advertisements

Sunday, January 21, 2018

HABARI KATIKA PICHA

Naibu Waziri wa Madini Stalslaus Nyongo pamoja na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakifuatilia mada zinazowasilishwa na mfuko wa sekta binafsi nchini , katika majadiliano ya kufanya biashara baina na sekta binafsi na serikali mkutano huu ulifanyika katika makao ya makuu ya nchi Dodoma tarehe 19/1/2018, aliyekaapembani mbele upande wa kushoto ni waziri wa Viwanda , biashara na uwekezaji Charles Mwijage.
Naibu waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akiongea na wadau mbalimbali kutoka sekta ya umma na sekta binafsi katika mkutano maalum wa majadiliano ya jinsi ya kufanya ushirikiano wa kibiashara baina ya serikali na sekta binafsi , kikao hichi kifanyika katika ukumbi wa Treasury Square Dodoma ( Hazina)
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akiongea na wadau mbalimbali kutoka sekta ya umma na binafsi katika mkutano maalum wa majadiliano ya jinsi ya kufanya ushirikiano wa kibiashara baina ya serikali na sekta binafsi, kikao hichi kilifanyika katika ukumbi wa Treasury Square Dodoma (Hazina)

No comments: