Advertisements

Tuesday, January 23, 2018

Nabii anayekunywa pombe mikononi mwa polisi Dodoma

Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma.
Nabii huyo ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa katika kituo kikuu cha polisi Dodoma kabla ya kamanda wa polisi mkoni humo, Gilles Muroto kutoa taarifa kuhusu nabii huyo muda mfupi ujao

No comments: