Advertisements

Friday, January 19, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume,
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisikiliza hoja zikitolewa na Balozi Celestine Mushi wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji  wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisikiliza hoja wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakifurahia jambo baada ya Mhe. Rais kuongea na watumishi wa Wizara hiyo kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.
 Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masshariki wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  alipoongea nao kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na  Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masshariki  baada ya kuongea nao kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.Picha na IKULU

No comments: