Advertisements

Monday, February 12, 2018

BEAUTIFUL ONYINYE WA UGHAIBUNI AANGUSHA MNUSO WA NGUVU WA VALENTINE

Keki ya wapendanao ikiwa tayari kwenye mnuso wa Valentine uliofanyika siku ya Jumamosi Feb 10, 2018 Silver Spring,  Maryland.
BeautifulOnyinye wa ughaibuni akiwa na bba mwenye nyumba wake.
Beautiful Onyinye wa ughaibuni akiongea na kuwashukuru wageni wake.
Baba mwenye nyumba akimkabidhi Beautiful Onyinye mauaridi na baadae kuyagawa kwa wapendanao waliohudhuria mnuso huo.
Padri akiombea chakula.
Champagne ikifunguliwa usiku huo wa Valentiene.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.








1 comment:

Anonymous said...

Lord have Mercy!