ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 1, 2018

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA USIMAMIZI WA MAAFA NCHINI Na.MWANDISHIWETU

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Fautin Kamuzora akifungua Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Bw. Bashiri Taratibu, na kushoto ni Muwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Kanali Jimmy Said.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiri Taratibu akiongea wakati wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma, Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof. Fautin Kamuzora , kushoto Muwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Kanali Jimmy Said ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Baraza hilo.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen Mbazi Msuya akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof. Faustin Kamuzora wakati wa Kikao hicho.
Sehemu ya Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof. Faustin Kamuzora wakati wa Kikao hicho.
Mmoja wa wajumbe wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Joseph Kihaule akizungumza wakati wa Kikao hicho kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof. Fautin Kamuzora (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa maafa Tanzania kilichofanyika mapema leo mjini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 

No comments: