Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akifungua kikao cha Wakuu wa Vyombo ya Ulinzi na Usalama cha kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa Wanyama Pori na Misitu Nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha. Picha na Jeshi la Polisi.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akitoa hotuba ya ufunguzi mbele ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Jenerali Venance Mabeyo (Katikati) na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, na wajumbe wengine (hawapo pichani) kwenye kikao cha kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa Wanyama Pori na Misitu nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza kikao cha ufunguzi wa kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa wanyama pori na misitu nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment