ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 24, 2018

AJALI KAZINI

 Lori la maji lenye namba T 801 CRG limetumbukia mtaroni baada ya kushindwa kupanda kilima cha Mzambarauni kuelekea Gongo la Mboto Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

No comments: