Mama kijacho Martha akipata ukodak moment na moja ya marafiki wake waliohufhuria baby shower yake iliyoenda sambamba na sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Shariff na Shante iliyofanyika siku ya Jumamosi March 24, 2018 Oletha, Kansas nchini Marekani.
Mama kijacho na baba mwenye nyumba katika picha ya pamoja na watoto wao Shariff na Shante ambao pia walikua wakisherehekea siku za kuzaliwa kwao.
Mama kijacho akipata ukodak moment na wageni wake.
"Nilishe nui kulishe tuonyeshe ishala ya mapendo" hayo ndio maneno yalikua yakitoka mioyoni mwao
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:
Post a Comment