ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 31, 2018

Misa ya Kiswahili Jumapili ya Pasaka, April 1, 2018 New York

Wakristu wapendwa,


Tumsifu Yesu Kristu.



Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,



Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili ya Pasaka, tarehe 1 Mwezi Aprili 2018, kuanzia saa sita mchana. (Easter Sunday, 1st April 2018 at 12 noon). 



Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Karibuni tumshukuru Mungu, na kushangilia Ufufuko wa Bwana wetu YESU KRISTU.



Na mara baada ya misa tutajumuika pamoja kwenye ukumbi wetu kwa ajili ya chakula na vinywaji.



Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue. 



Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.



Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.



Mbarikiwe.
Karibuni...sana..



Kutoka kwa Padre Mushi

No comments: