ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 4, 2018

MSIBA DMV NA TANZANIA

Bwana *Richard Mawenya* na *Luis Mushi* wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mzazi Mzee *Panthaleo Mushi* kilichotokea ghafla alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe *4 March 2018* huko Tanzania.

Kama ilivyo mila na desturi yetu kutoa pole kwa wafiwa, msiba utakuwa nyumbani kwa Richard address *9739 Country Meadows Ln, Apt 2D, Laurel MD 20723.*

Unaweza pia kutoa mkono wa pole kwa kupitia CashApp ya *Melissa Kritikos (240) 602-1506.*

Bwana ametoa, na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. Amen.

No comments: