ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 26, 2018

UCHAGUZI WA DMV KATIKA PICHA

 WanaDMV wakianza kuingia ukumbini kuchagua viongozi wao katika picha ni wagombea wa ukatibu msaidizi Elvis Saria (kushoto na Dickson Mkama (DMK) wakipata picha siku ya Jumamosi March 24, 2018 Lanham, Maryland siku iliyofanyika uchaguzi wa DMV. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.
 WanaDMV wakiwasili tayari kupiga kura
Ulinzi uliimarishwa
Wagombea Dr. Boas (kushoto) na Asha Hariz wakibadilishana mawili matau.
mtari wa wapiga kura
Uhakiki wa majina ya wapiga kura.
Katibu wa tume Julius Manase akitumia tochi maalum kuhakiki kitambulisho cha Rais wa muda uliopita Idd Sandaly 
Mwenyeki msaidizi wa tume Richard Mawenya akimpatia karatasi za kupigia kura Rais wa muda uliopita Idd Sandaly tayari kwa kupiga kura na kuchagua viongozi watakao iongoza DMV kwa mwaka 2018-2020
upigaji kura
Lilian Morgan akitumbukizakaratasi yake yakupigia kura baada ya kuchagua viongozi aliowachagua.

Ben Mgawe akitia kidole chake wino mara baada ya kupiga kura.
Kura zikihesabiwa
Kura zikiendelewa kuhesabiwa.
Kura zikihesabiwa.
kuhesabu kura



No comments: