Advertisements

Monday, April 23, 2018

MKUTANO MKUU JUMUIYA YA WATANZANIA NA NYAMA CHOMA DMV, TUME YA UCHAGUZI YAWASILISHA MAHESABU YAO

Saria (kushoto) katibu msaidizi wa Jumuiya ya waTanzania DMV akisaidiana na Aloyce Mbullu (kati) na Edward katika kuhakikisha nyama inakua katika kiwango chake siku ya Jumapili April 22, 2018 Silver Spring, Maryland siku ambayo Tume ya Uchaguzi iliwasilisha mahesabu ya matumizi ya uchaguzi kwa wanajumuiya. Picha na Vijimabo Blogna Kwanza Production kwa udhamini wa Kilimanjaro Studio.
WanaDMV wakijumuika pamoja kwenye nyama choma na baadae kwenye mkutano mkuu ambao pia ulitoa ruksa kwa tume ya uchgauzi kuwasilisha mahesabu yao ya gharama za uchaguzi.
Watoto wakifurahia michezo ya watoto
Wajasiliamali wakiuza bidhaa zao.
Eddie Fundi mjasilia mali akiuza bidhaa zake kwa wanajumuiya.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Wanajumuiya wakijumuika pamoja
Watoto wakiruka na maputo yao ya kuchezea.

Katibu msaidizi akisherehesha mkutano mkuu.
safu ya uongozi ikiwa meza kuu.
Safu ya uongozi ikiwa meza kuu.
Makabidhiano ya katibu wa uongozi wa zamani Saidi Mwamende na katibu mpya.Cleo Kulasi.
Makabidhianoyakiendelea.
Makabidhiano yakiendelea.
Katibu akifungua mkutano.
Jabir Jongo Bodi ya Wakurugenzi akitoa 
Mwenyekiti wa tume akisoma hotuma yake kwa wanajumuiya.
Mwenyekiti msaidizi wa tume akiongea na wanajumuiya.
Wanajumuiya wakifuatilia mawasilisho ya mahesabu ya tume mapato na matumizi.
Katibu wa tume akiwasilisha mapato na matumizi ya tume ya uchaguzi kwa wamajumuiya siku ya mkutano mkuu.
 MwanaDMV Siza akisisitiza jambo.

1 comment:

Anonymous said...

NICE!