Mnuso wa Easter uliofanyika Ijumaa na Jumamosi March 31, 2017 katika jiji la Dallas, Texas na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka kila kona ya Marekani. Mnuso huo ndio uliokua signature ya Dallas enzi hizo na baadae kufa lakini sasa imeibuka kwa kuvu kubwa sana kama simba aliyejeruhiwa.
Wadau mbalimbali waliohudhuria mnuso wa Pasaka Dallas wakipata picha ya kumbukumbu.
Ukodak kwa kwenda mbele.
Walimbwende katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment