Advertisements

Monday, April 30, 2018

NYTC ELECTION FOR EXECUTIVE COMMITTEE 2018 / UCHAGUZI WA VIONGOZI WATENDAJI NYTC 2018.

Nytc Election Committee respectively honor to announce to all community members that there will be an election of the fourth term of leaders of our community on June 9th, 2018.

In the position of the Chairman, the Secretary and Treasurer.

All forms are available at our community website http:// www.nytanzaniancommunity.org

And through Election Committee members. The deadline to receive all application is 11th May 2018. The desired candidates should have characteristics below; must be willing to be interviewed. And must be able to provide references upon request.

✔Have a Solid track record of high integrity and strong character.

✔Have a generosity of spirit and willingness to help others grow and be successful.

✔A Recognized, seasoned leader.

✔Be well-connected.

✔Plays well with others.

✔Be willing to challenge things that make sense.

✔Be reliable and trustworthy.

✔Good communicator.

✔An active member of NYTC (Paid all their Yearly dues).

✔Be a law abiding Person--------------------------------------------------------

Kamati ya Uchaguzi NYTC kwa heshima inapenda kuwa tangazia wanajumuhia wote kuwa, kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa hawamu ya nne siku ya tarehe 9th June 2018.

Nafasi za viongozi zitakazo gombewa ni nafasi ya Mwenyekiti, Katibu na Muwekahazina.

Fomu za maombi ya Uongozi zinapatikana katika Website ya Jumuhia http:// www.nytanzaniancommunity.org

Na kupitia viongozi wa kamati ya uchaguzi. Maombi yatapitiwa na kamati huru ya Uchaguzi. Tarehe ya mwishoni kupokea maombi ya wagombea wote ni May 11th 2018. Wagombea wanapaswa kuwa na sifa zilizoorodheshwa hapo chini; lazima wawe tayari kwa Usaili pindi wakitakiwa kufanya hivyo; na lazima wawe na uwezo wa kutaja watu wa kuthibitisha sifa zao (references) pindi watapotakiwa

✔Awe na rekodi nzuri ya uadilifu mkubwa na tabia njema.

✔Awe na ukarimu wa roho na nia ya kuwasaidia wengine kuendelea na kuwa na mafanikio.

✔Ana tambuliwa kama kiongozi aliebobea kimaadili.

✔Awe na mshikamano na watu wote.

✔Anashirikiana vizuri na wenzake.

✔Atoe changamoto katika mambo. ambayo hayako makini/hayaeleweki.

✔Awe mtu wa kutegemewa/ wakuaminika .

✔ muongeaji mzuri.

✔ Awe mwanachama hai, amelipa. Ada kamili ya uanachama.

✔Awe mtiifu wa sheria. (asiyemvunjifu wa sheria za nchi).

NB:

Kamati ya Uchaguzi.

1. Mch Perucy Butiku (M'kiti).

2. Amir Kius (Katibu).

3. Farida Mallya.

4. Charles Kilenga.

5. Abdu Khamis.

No comments: