Advertisements

Monday, April 30, 2018

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA MTU NA DADA YAKE UNIQUE NA SALLY

Mapambo ya sherehe ya kuzaliwa ya mtu na dada yake Unique na Salima iliyofanyika siku ya Jumapili April 29, 2018 Bladensburg, Maryland nchini Marekani.
Madada wakiingia ndani ya ukumbi tayari kusherehekea siku yao ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumapili April 29, 2018 Bladensburg, Maryland nchini Marekani.
Unique na dada ya Salima wakipata picha.
Unique na Salima wakipata picha ya pamoja na mama na baba na kaka yao Salimu.
Mshereheshaji Tuma akiwangoza watoto kuimba wimbo wa siku yao ya kuzaliwa.
Mama akimsaidia Salima kukata keki.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: