Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.CAli Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China (hawapo pichani).(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment