Advertisements

Monday, April 16, 2018

RAS: HAWA WALIMU UMEVUNJIKA MOYO SANA KUTOKANA NA UONGOZI MBAYA WA BAADHI YA VIONGOZI

Katibu tawala mkoa wa Ruvuma Hassani Bendeyeko amesema sababu za mkoa wa Ruvuma kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017 unatokana na walimu wengi kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na uongozi mbaya kwa baadhi yao katika halimashauri za mkoa huo,ambapo mkoa wa Ruvuma katika matokeo hayo imeshika nafasi ya 25 katika ya mikoa 30
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
 

No comments: