Advertisements

Monday, April 30, 2018

TANZIA MAREKANI NA TANZANIA

Kwa masikitiko makubwa tunawatangazia kwamba Mzee Franklin B. Mkony (pichani), baba mzazi wa Kaka Jerry Mkony wa FL, ametwaliwa na bwana Jumapili April 29, 2018. Mipango ya mazishi imeanza nyumbani kwa marehemu, Selender Bridge, Dar es Salaam, Tanzania
-Jerry alikuwa mkazi wa Plano - Dallas kabla hajahamia FL. 

Taarifa zaidi zitafuata. 

Unaweza kusaidia familia hii ktk rambirambi kwa njia zifuatazo:

Cash app $KakaJerry
and/or
CashApp: $JessicaKataraihya

Kwa taarifa zaidi: 

Godlistern Lyimo: 515-421-0279
Grace Lyimo: 405-990-6441
Dada Jessica 214 773-6697
Jerry Mkony: 405-694-0631

BWANA Ametoa , BWANA Ametwaa, jina lake lihimidiwe

No comments: