ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 2, 2018

UFUNGUZI WA JUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO AMERIKA YA KASKAZINI NA CANADA (TAMUDI)

Kaka yetu Hamza Mwamoyo akiongoza shughuli nzima ya ufunguzi jumuiya ya watanzania waishio kaskazini mwa amerika na canada, MC katika ufunguzi wa TAMUDI
Dua ya ufunguzi ilisomwa na Sheikh Omar Mwinyimvua (pichani) alietokea Texas, ambaye pia alikuwa ni mwenyekiti wa TAMCO kipindi alipokuwa akiishi DMV
Mwenyekiti wa TAMCO wa sasa Sheikh Ali Mohammed akiwakaribisha wageni kwa niaba ya TAMCO ambayo ndio mwenyeji wa mkutano huu, kulia kwenye picha ni mgeni kutoka Ohio Bw. Hamim Masoud
Ustadh Malik akisoma Quran tukufu ya ufunguzi wa jumuiya ya waislamu waishio kaskazini mwa amerika na Canada
Kijana wetu Ibrahim jumuiya yetu ya baadae, nae alitusomea quran, ibrahim antokea baltimore MD
Meza kuu kutika kushoto ni Sheikh Hamim kutoka Ohio, Sheikh Haji Khatib kutoka Ohio, Sheikh Omar Mwinyimvua kutoka Texas, Sheikh Haji Kassim kutoka New York, Sheilh Yussuf Makka kutoka Ohio, Sheikh Idd Sandal na Sheikh Seif Ameir kutoka Maryland
DJ MO pia nae alikuwepo kufanikisha ufunguzi wa jumuiya ya waislam wa watanzania waishio amerika ya kaskazini na Canada, qwasida zilipatikana kutoka kwa Dj MO
Kijana wetu nae hakuwa nyuma akiwa amechangamka akitembea huko na kule, ambaye tunawategemea kuwa viongozi wetu wa baadae kuendeleza jumuiya zetu
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: