ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 2, 2018

Winnie Madikizela-Mandela amefariki dunia

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Winnie Mandela, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Taarifa ya BBC Swahili imeeleza kuwa, habari za kifo cha Winnie zimethibitishwa na msaidizi wake.

Winnie alizaliwa Oktoba 26, 1936, ingawa yeye na mumewe, Nelson Mandela walitalikiana miaka ya 1990. Winnie Madikizela Mandela kama alivyofahamika rasmi aliendelea kushirikiana na Mandela katika maisha mengine ya kawaida.

No comments: