Advertisements

Saturday, May 5, 2018

ADA YA UANACHAMA DMV


Hello DMV Family!
FRIENDLY REMINDER!
Poleni na majukumu

YAH: ADA YA UANACHAMA
Kama ilivyo desturi yetu, DMV itajengwa na sisi wenyewe.
Tunaomba Ada za uanachama haswa tukizingatia kuwa wengi wetu watapoteza sifa za uanachama hai mwishoni mwa mwezi huu wa May,2018
Ada ya uanachama ni $10/mwezi.
Uongozi wa Jumuiya unawaomba sana wanaDMV kulipia ada ili kuendeleza gurudumu la maendeleo.

Kama wewe ni mjasiliamali ungependa tangazo lako liende kwenye tovuti ya jumuiya hautalipishwa tangazo unachotakiwa ni kulipia ada ya mwaka mzima

Tafadhali tuma ada yako kupitia cashapp kwa namba hii:
Ali Mikidadi/ATC-Metro Assistant Treasurer
201 628 2133

No comments: