Advertisements

Sunday, May 20, 2018

IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE BALTIMORE, MARYLAND

Kutoka kushoto ni Padre Crispen Jumanne, Padre Honest Munishi, Shemasi Carl Anderson na Shemasi Steve Rubio wakiongoza Ibada ya Jumapili  Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production kwa udhamini wa Kilimanjaro Studio
  Ibada ya Jumampili  Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani siku ya Jumapili May 20, 2018.
Watumikiaji wakimwongoza Shemasi Steve Rubio kusoma neno kwenye Ibada ya Jumampili  Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani siku ya Jumapili May 20, 2018.

   Ibada ya Jumampili  Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani siku ya Jumapili May 20, 2018.
 Ibada ya Jumampili  Dominika ya sherehe ya Pentekoste iliyoendeshwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani siku ya Jumapili May 20, 2018.No comments: