Advertisements

Monday, May 21, 2018

MISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE NA MAMA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

Picha ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru.
Mchungaji mama Peres Butiku kutoka New York akiongoza misa ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru iliyofanyika siku ya Jumamosi May 19, 2018 Frederick, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
Misa ikiendelea.
 Dr. Abbas Bwabusha toka New York akiongea jambo.
 Wahudhuriaji wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mzee na mama Kingunge Ngombale Mwiru iliyofanyika siku ya Jumamosi May 19, 2018 Frederick, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
 Wahudhuriaji wakifuatilia misa
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiguswa jambao wakibubujikwa na machozi
 Misa ikiendelea.
 Alex kutoka Chicago akisoma neno
 Tina Magembe akisoma wasifu wa marehemu

 Mapochopocho na mulo wa nguvu ukiandaliwa.
 Misa ikiendelea
 Ndugu, jamaa na marafiki wakipata picha ya kumbukumbu
 Paparazi wakiwa kazini
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia misa,
Watoto wakicheza
Maandalizi ya chakula

Picha za kumbukumbu za mzee na mama kingunge Ngombale Mwiru

1 comment:

Anonymous said...

poleni sana wafiwa wote.bwana alitowa bwana alitwa jina lake lihimidiwe. rest in peace our mama. wengine tulitaka kuja kuhudhuria lakini hatukujua jambo hili jamani.