Advertisements

Saturday, May 12, 2018

MSIBA DMV NA TANZANIA

Ndugu yetu, mwana DMV mwenzetu Magreth Luvanda amefiwa na mpendwa baba yake mzazi Tanzania kama ilivyo ada na desturi yetu, kupeana pole ndio ustaarabu wetu msiba upo
5597 Seminary Rd,
Falls Church,  VA 22041


Utakapo pata nafasi unaweza pitia au mpigie simu
Namba ya mfiwa 240 408 2102

Unaweza tuma rambirambi zako kupitia CashAap 202 290 5523 Mchungaji Ailen Mushi

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA NA JINA LIHIMIDIWE

No comments: