Advertisements

Sunday, May 6, 2018

VIJIMAMBOBLOG NA WA WADAU WAKE WANAMPONGEZA SABRA KWA KULA NONDO YA MBA.

Bi Sabra Busolo unapongezwa na Vijimamboblog kwa kula nondo ya MBA katika chuo cha VIU huko virginia DMV. Kila la khery katika maisha yako na itumie vizuri elimu yako kwa kuleta furaha ndani ya familia yako na maisha yako kwa ujumla.

 Bi Sabra akipata ukadak wa kumbukumbu na wahitimu wenzake chuoni hapo

Ni mambo ya ukodak tu kiroho safi

No comments: