Advertisements

Saturday, May 12, 2018

WILAYA YA MADABA YAJA NA MIKAKATI MADHUBUTI YA KUBORESHA KIWANGO CHA ELIMU

Halimashauri ya wilaya ya MADABA mkoani Ruvuma imeadhimia kuandaa mikakati madhubuti ya kuboresha kiwango cha elimu katika shule za msingi na sekondari ikiwemo kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na makazi bora ya walimu katika shule husika. Hayo yamebainishwa katika baraza la madiwani la robo tatu ya mwaka wa fedha 2017/2018. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments: