Advertisements

Saturday, June 9, 2018

DUA YA KUOMBEA WAGONJWA NA IFTAR YA PAMOJA CHEVY CHASE, MARYLAND

Dua ya kuwaombea wagonjwa na iftarar iliyofanyika siku ya Ijumaa Chevy Chase, Maryland na kuhudhuriwa na waTanzania waishio DMV na marafiki zao. Picha na Iska Jojo.
Dua likiendelea
WaTanzania waliohudhuria kwenye dua lililofanyika Chevy Chase< Maryland.
Mwenyekiti TAMCO Ally Mohamed akiongea jambo
Sala ya magharibi ikifanyika
Kwa picha zaidi bofya HAPA

No comments: