ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 2, 2018

Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Boeing kuendelea kushirikiana na Tanzania kujenga Shirika la Ndege lenye Ndege za teknolojia ya kisasa

Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi akiwa na Bw. Kevin G. McAllister, Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. 

Kutoka kushoto ni Bw. Christopher M. Cook, Mkurugenzi wa Mauzo ya Kimataifa, (Business Director International Sales); Bw. Ihssane Mounir, Naibu Rais wa Mauzo (Senior Vice President Commercial Sales & Marketing); Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi; Bw. Kevin G. McAllister,  Rais na Mtendaji Mkuu (President & CEO Boeing Commercial Airplanes) na Bw. Alfred Swere, Mwambata Fedha wa Ubalozi

No comments: