Advertisements

Monday, June 4, 2018

MAPAMBO KOKOTE TANZANIA TUTAFIKA

ilichukuwa muda kupaandaa Jana na Leo muheshimiwa Rais anazindua program ya kilimo phase 2. Chini ya boss merry

kila mtu kwaooooooo watu tunaanza kuondoa.kwa mahitaji ya kufunga burners,kupamba popote tunakuja ukiwa na vifaa vyako au tuje na vyetu kokote pale tunafika

Office yetu ni 0752522921 au 0656436676 tupo Dar es Salaam Karibu Mjini

No comments: