Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe wakishiriki katika ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 29, 2018'
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment