ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 29, 2018

IBADA YA MISA KISWAHILI MWEZI JULAI 2018, BALTIMORE.

 
Ndugu waumini Tumsifu Yesu Kristo.

Kama ilivyo desturi yetu kukutanika kwa ibada ya Kiswahiili mara moja kila mwezi.

Tunaomba kukumbushana kuwa ibada yetu ya mwezi Julai itafanyika siku ya Jumapili ya

Tarehe 29. Muda ni saa nane kamili (2:00 pm).

Ibada itafanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward (St. Edward Parish)

Address: 901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Phone: 410 362 2000


Karibu sana na tusisite kukumbushana nakuwakumbusha wengine.

Kwa niaba ya Fr. Honest Munishi na Uongozi ni Katibu Tibruss Minja.

No comments: