Kazi ya kumfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibaya mtoto mwenye umri wa miezi mitatu ikiendelea.(PICHA NA BRIGHTON JAMES – JKCI)
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibaya mtoto mwenye umri wa miezi mitatu katika kambi maalum ya upasuaji ya siku tano inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto saba wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment