ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 30, 2018

WAZIRI LUGOLA KUYAFUTA MAKANISA NA MISIKITI YENYE KUENDELEZA MIGOGORO NA KUTOFUATA SHERIA ZA NCHI, AZINDUA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI AMBALO LITAZUNGUKA NCHI NZIMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na waumini wa Kanisa la Free Pendekoste Jerusalem City lililopo Wilayani Arumeru, mara baada ya kuzindua Tamasha la kuombea amani nchini ambalo limefunguliwa rasmi katika Kanisa hilo, Mkoani Arusha na baadate litafanyika nchi nzima. Katika hotuba yake, Waziri Lugola alisema atayafuta Makanisa na Misikiti ambayo yana migogoro isiyoisha na pia yasiyofuata sheria za nchi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akikata ndafu aliyopewa na Kanisa la Free Pendekoste Jerusalem City la Leganga Wilayani Arumeru, mara baada ya kuzindua Tamasha la kuombea amani nchini ambalo limefunguliwa rasmi katika Kanisa hilo, Mkoani Arusha na baadaye litafanyika nchi nzima. Katika hotuba yake, Waziri Lugola alisema atayafuta Makanisa na Misikiti ambayo yana migogoro isiyoisha na pia yasiyofuata sheria za nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Amosi Promotion, Amosi Mulungu mara baada ya Waiziri huyo kuzindua Tamasha la kuliombea Taifa amani katika tukio lililofanyika katika Kanisa la Free Pendekoste Jerusalem City la Leganga Wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Waziri Lugola alisema atayafuta Makanisa na Misikiti ambayo yana migogoro isiyoisha na pia yasiyofuata sheria za nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wanne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kanisa la Kanisa la Free Pendekoste Jerusalem City la Leganga Wilayani Arumeru. Waziri Lugalo alizindua Tamasha kubwa la kuombea Taifa amani ambalo baada ya uzinduzi huo litazunguka nchi nzima kwa ajili ya maamombezi ya kuliombea Taifa pamoja na viongozi wake. Hata hivyo, katika hotuba yake, Lugola alisema atayafuta Makanisa na Misikiti ambayo yana migogoro isiyoisha na pia yasiyofuata sheria za nchi.

No comments: