HEAD INC inapenda kutoa shukran kwa S.e freight kwa kudhamini usafirishaji wa vifaa vya hospitali kwenda Tanzania kwa matumizi wakati wa utoaji wa huduma na elimu za afya bure zitakazotolewa na HEAD INC medical team huko Zanzibar na Dodoma kuanzia tarehe 8 hadi tarehe 21 mwezi wa tisa mwaka huu.
Mungu akubariki.
Need your support..Team, medications and medical supplies will be leaving Sept 7th..We still accept all kinds of donations..
We take over the counter any medications (expiration date not before Oct 2019), medical supplies and cash $$$. Your support is highly appreciated...http://gf.me/u/im9bra
No comments:
Post a Comment