Advertisements

Thursday, August 2, 2018

PICHA: SIMBA SC 1-1 MOULOUDIA OUJDA

picha za mchezo wa jana wa Simba SC na Mouloudia Oujda uliopigwa katika kiwanja cha hoteli ya The Green Park kilichopo katika mji mdogo wa Kartepe hapa Kocael, Uturuki.

Goli la Mouloudia Oujda lilifungwa dakika ya 55 na goli la Simba lilifungwa na Adam Salamba dakika ya 58.

Katika dakika ya 56 mvua kubwa ilianza kunyesha wakati mchezo ukiendelea na hivyo ilipofika dakika ya 61 mwamuzi alisimamisha mchezo na dakika ya 65 alimaliza.

No comments: