Advertisements

Wednesday, August 8, 2018

WACHEZAJI SIMBA WATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DSM

Taasisi ya Mo Dewji kwa kushirikiana na klabu ya Simba wametoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Rabi Hume

No comments: