Wageni wa kongamano la DICOTA2018 waanza kuwasili Seattle. Pichani Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dr. Ayoub Ryoba Chacha akiwasili Seattle Airport na kupokelewa na Mwenyeti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle Fatma Al Tamim, aliyeongozana na Mwenyekiti Msaidizi Jacob Oscar na Amani Kimambo Katibu Msaidizi. TBC watarusha mkutano wa DICOTA moja kwa moja Tanzania pamoja na kufanya mahojiano na wadau mbali mbali
No comments:
Post a Comment