Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA
Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la
ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga kuhusu changamoto zinazowakabili
wanawake kwenye kumiliki ardhi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa YDC
Jijini Tanga ukihusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali ulioandaliwa na
chama hicho
Mratibu
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa
Ayoub kulia akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la
ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga
kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi kushoto
ni Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo ambapo mdahalo huo
uliandaliwa na chama hicho
MWANASHERIA
wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika Sigisbert
Akwilini akiwa na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo ambao
uliandaliwa na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) mkoani
Tanga
Madiwani
wa Kata za Chumbangeni Saida Gadafi CCM) kushoto akiwa na Diwani wa
Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku wakifuatilia mdahalo huo
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani
Tanga Sigisbert Akwilini akichangia kwenye mdahalo huo
Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku
No comments:
Post a Comment