Advertisements

Monday, October 15, 2018

DMV FREE HEALTH COMMUNITY FAIR YAFANA


Picha iliyochukua tuzo kwenye siku ya uangalizi wa afya bure uliofanywa na uongozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV kwa kushirikiana na kamati ya afya iliyowashirikisha madaktari wazawa na manesi wakiwemo madaktari wa Health Choice Urgent Care na Family Clinic. Kamati ya Afya ikiongozwana Mwenyekiti Zawadi Sakapala Ukondwa, Clara Lema, Eunice, Majura, Dr. TalibAli, Dr. Rahma Nyang'anyi, Dr. Kurwa Nyigu, Rebecca Ndekeja, Erick Mahai, Hamida na CleopatraKulasi. Picha na Vijimambo kwa hisani kubwa ya ATC Metro.

Madaktari, wauguzi na wasaidizi waliojitolea katika zoezi hilo wkiwa katika picha ya pamoja

Dr. Kurwa Nyigu (kushoto) na Dr. Rahma Nyang'anyi wakiwa katika picha ya pamoja/.

Mkamao wa Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Joha Nyang'anyi akipata huduma ya kipimo cha kisukari kulia anayempima ni muuguzi Erick Mahai na anaye mwangalia kushoto ni Dr. Rahma Nyang'anyi.
Kutoka kushoto ni Dr. KurwaNyigu, Dr Twalib Ali na Dr. Rahma Nyang'anyi
 Dr. Kurwa Nyigu akimsikiliza na kutoa ushauri kwa mwana DMV Teddy aliyefika kwenye uangalizi wa afya bure uliofanyika siku ya Jumapili Oct 14, 2018, Maryland.
 Dr Rahma Nyang'anyi akimsikiliza mmoja ya wanaDMV waliofika kwenye zoezi la uangalizi wa Afya.
Kulia ni muuguzi Neesha akimfanyia vipimo mmoja ya wanaDMV waliohudhuria uangalizi wa afya DMV siku ya Jymamosi Oct 14, 2018.

Wauguzi na madaktari wakiwa katika picha ya pamoja.

Seif Msabaha akiangaliwa afya yake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


MwanaDMV Najma (kushoto) akiwa sikiliza wataalamu wa maswala ya bima ya maisha.
Zain Hamza (mzee wa kachumbari) akipata vipimo wa kisukari kutoka kwa muuguzi Erick MahaiNo comments: