HUC inatoa ufadhili wa BURE ya masomo ya short course VETA- Tanzania kwa vijana wasio na uwezo. Tafadhali jaza hiyo form hapo chini, kama umetimiza vigezo vya kupatiwa ufadhili huu wa masomo ya ufundi. Tafadhali zingatia deadline.
Help for Underserved Communities Inc. (HUC) P.O box 6822,
Ellicott City, MD 21042, E-mail: info@myHUC.org
Website: www.myHUC.org
Scholarships Announcement/ Ufadhili wa Masomo
The Help for Underserved Communities Inc. (HUC) will award scholarships to young adults to attend vocational training at VETA in Tanzania beginning the 2018-2019 academic years. (The Help for Underserved Communities Inc. (HUC) itafadhili wanafunzi/ vijana wa kozi za awali VETA, Tanzania kwa mwaka 2018-2019.)
Eligibility: Open to primary school graduate students and young adult who lived in rural/ underserved communities and their parents/guardians unable to pay for their school fees. (Walengwa ni wanafunzi/ vijana waliomaliza shule za msingi ambao wamethibitika kuwa wazazi/walezi wao wameshindwa kuwalipia ada)
Application Requirements: Student must include a complete scholarship application (see the application form below), an essay to explain the financial need, and one letter of recommendation from a teacher/community leader who can speak to your overall ability and likelihood of your success in vocational study. Only fully completed applications will be considered. Application Deadline: 5:00 p.m. Friday, November 02, 2018. (Mwanafunzi atatakiwa kujaza kwa usahihi fomu ya maombi (angalia fomu hapo chini), akiambatanisha na barua akieleza sababu za kuomba ufadhili huu na barua ya utambulisho toka ofisi ya serikali za mitaa na mwisho wa kupokea barua za maombi ni Ijumaa, Novemba 02, 2018, saa 11 jioni.)
Completed applications should be turned in at (Barua za maombi zitumwe kupitia)
Help for Underserved Communities Inc. P.O.Box 6822,
Ellicott City, MD 21042 U.S.A
OR E-mail
(Au Kupitia barua pepe)
info@myhuc.org
Scholarship Award Announcement: Scholarship winners will be announced no later than Friday, November 30, 2018. The scholarship funds will be dispersed directly to the school. (Majina ya watakaopata ufadhili yatatangazwa Ijumaa Novemba 30, 2018 na ada italipwa moja kwa moja chuoni.)
P.O box 6822, Ellicott City, MD 21042,
Email: info@myHUC.org Website: www.myHUC.org
BANDIKA PICHA YAKO HAPA
SCHOLARSHIP APPLICATION FORM 2018 - 2019
(FOMU YA MAOMBI YA UFADHILI WA MASOMO 2018 - 2019)
.................................. Date (Tarehe)
................................................................................................................................ Name of applicant (Majina Matatu ya Mwombaji)
Sex (Jinsi)........................................ Age (Umri)........................................
Date of Birth..................................... Place of Birth..................................... (Tarehe ya Kuzaliwa) (Mahali pa Kuzaliwa)
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………… Address (Anuani)
................................................................................................................................ Phone Where You Can be Reached (Namba ya Simu Unayoweza Kupatikana)
................................................................................................................................ E-mail Address (Optional) (Barua Pepe Kama Unayo)
………………………………………………........................................................................................ Primary School (Shule ya Msingi Uliyosoma)
................................................................................................................................ Location of School (Mahali Ilipo Shule Ulosomea)
............................................................................................................................... Extracurricular Activities (Shughuli Zako za Ziada)
................................................................................................................................ Select One Course/Training You Would Like to Apply(Chagua kozi moja unayotaka kusomea)
Courses: Truck Mechanics (Ufundi Magari), Auto Electrical (Umeme wa Magari), Motor Cycle Driving (Udereva Pikipiki), Bajaj Driving (Udereva wa Bajaj), Decoration (Mapambo ya Ukumbi), Hair Dressing (Urembo), Masonry (Ujenzi), Passenger Car Driving (Udereva wa Magari ya Abiria), Tailoring (Ushonaji) and Truck Driving (Udereva wa Magari Makubwa).
On a separate page or pages write not less than 500 words describing why you think you deserve this scholarship award from HUC. Special emphasis should be placed on: (Tumia karatasi tofauti na hii, andika maneno yasiyopungua 500 ukielezea kwa nini unastahili kupewa udhamini na wa mafunzo na HUC. Maelezo yako yazingatie yafuatayo)
*Why you selected the course/training above? (Sababu za kuchagua kozi hiyo)
*Why do you want aid from HUC scholarship? (Sababu za kuomba ufadhili wa masomo HUC)
*What impact will the training have for you? (Kozi itakusaidiaje kimaisha?)
Deadline: Friday November 02, 2018
(Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni Ijumaa Novemba 02, 2018)
Send your application form to: (Tuma fomu yako ya maombi kwa)
Help for Underserved Communities Inc. (HUC) P.O. Box 6822,
Ellicott City, MD 21042 U.S.A
OR via e-mail
(Au kupitia barua pepe)
info@myhuc.org
“Everyone Deserves a Better Life”
No comments:
Post a Comment