ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2018

MO DEWJI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA WAKURUGENZI WA KLABU YA SIMBA


MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO, (pichani kulia) leo Novemba 10, 2018 ameongoza kikao cha kwanza cha bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa bodi hiyo a walichaguliwa katika uchaguzi mkuu wa klabu uliofanyika wiki iliyopita wameshiriki na kukutana na mwekezaji wa Simba akiemo Kocha Mkuu wa Klabu ya soka ya Simba, Mbeleji Patrick Ausems.(PICHA KWA HISANI YA SIMBA)



No comments: