Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke (katikati)akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke (kulia)akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke aliyemtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao Novemba 8, 2018 Bungeni Jijini Dodoma
.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).
No comments:
Post a Comment