Advertisements

Tuesday, November 13, 2018

WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA WAJADILI KUBADILISHA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 PAMOJA NA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI NCHINI

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Mohammed Mchengerwa aongoza kikao cha kamati hiyo cha kujadili mchango wao katika kubadilisha Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 pamoja na kutokomeza ndoa za utotoni nchini kilichofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Mtandao wa kupinga ndoa za utotoni Tanzania, Ndg. Valerie Msoka akifafanua jambo nakueleza hali halisi ya ndoa za utotoni na madhara yake Tanzania mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika kikao kilichofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kujadili mchango wao katika kubadilisha Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 pamoja na kutokomeza ndoa za utotoni nchini kilichofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kujadili mchango wao katika kubadilisha Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 pamoja na kutokomeza ndoa za utotoni nchini kilichofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Sixtus Mapunda akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo cha kujadili mchango wao katika kubadilisha Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 pamoja na kutokomeza ndoa za utotoni nchini kilichofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Amina Mollel na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Upendo Peneza (kushoto)
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja na Wawezeshaji kutoka Mtandao wa kupinga/kutokomeza ndoa za utotoni katika tukio lililofanyika leo tarehe 13 Novemba 2018 katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.(PICHA NA BUNGE

No comments: