ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 28, 2018

UPDATES MSIBA WA MAMA RITA MORIO NEW YORK ( MAMA MZAZI WA CHARLES)


UPDATES MSIBA WA MAMA RITA MORIO ( MAMA MZAZI WA CHARLES)


Ndugu wanajumuiya kama tulivyofahamishwa na Familia ya Marehemu Mama Rita Morio kesho kutakuwa na Misa ikiambatana na kuuaga mwili wa mama Rita kuanzia saa kumi jioni mpaka saa mbili usiku (4:00 PM - 8:00 PM).
Baada ya hapo tutakutana nyumbani kwa mtoto wa marehemu mama Rita Charles kwa ajiri ya kupata chai na snacks kidogo. Wanajumuiya wowote watakaopenda kuleta chochote kama chakula au vinywaji laini wanakaribishwa kufanya hivyo.


ADDRESS ya nyumbani kwa Charles ni:

30 West, 141 street, NY, NY


CASH APP: 212 8516645
JINA: CHARLES Kilenga
Na kupitia GoFundMe.
https://www.gofundme.com/homegoing-for-mama-rita-morio

Kwa taarifa zaidi wasiliana
1. CHARLES Kilenga 212 851 6645
2. Shabani Mseba 347 712 8539
3. Rose Mlay 1 (203) 814-0545
4.Gaston - 646 359 2367

TAARIFA ZAIDI TUTAWAJURISHA

Tunatanguliza Shukrani zetu kwa ushirikiano wenu.

No comments: