Advertisements

Friday, December 7, 2018

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi ya Sharja Bw.Abdallah Sultan Owais, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar Ikulu leo,akiwa na Ujumbe wake kulia Sheikh.Majid Faisal Khalid Al.Qasemi Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti w a Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda ya Sharjah,ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi, Bw.Abdallah Sultan Owais, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar,7-12-2018
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanja Sharjah ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi Bw.Abdallah Sultan Owais, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, leo 7-12-2018

No comments: